Monday, March 18, 2013

on Leave a Comment

WHY THE COLD WAR??



Design kimya kimya nahamia section meditation.
Thoughts so analytical then kwangu dedication.
Niko so sound ju niliasi medication na kwake Mkuu ikawa ndo respect.
So alert namatch to my destination.
Niko strict kwa hii safari, naset demarcation.
Nipaze sauti nisake mafollowers.
Like minded kwa unity tuwe so bound na true calling ya life iwe found.
Foundation iwe crucial for the next move.

Nashindwa mbona kila mse ameturn politician.
True philosophers brains zinaclog!!
Udaku hafifu munajaza kwa blog.
Mliitana brother but sa ubinafsi umekuwa ni bother..
kiburi inacatapult unafiki.
Midomo pomoni chuki, macho kukolea dhiki.
Sura ni mbuzi nikama tumesip siki.
Kay Eye nasaka riziki

Kwa ukakamavu navaa macho makavu.
Kufumba ni time ya sala na kufumbua nimehapa hasara.
God ashaitika prayer na kwa cohesion mi ni key player. 
Sitaki kushufliwa kama kadi za meda.
True Kenyan bado nina msimamo, coz in me lies a generation.
I miss college days when we gathered for deliberation.
Regardless of our tribes we sought liberation……
YOUTH JUST WAKE UP AND STOP THIS COLD WAR ON SOCIAL MEDIA. WE ARE THE CHANGE WE YEARN TO SEE AND WE SHOULD NOT EMBED IT ON INDIVIDUALS….

0 comments:

Post a Comment